MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAADHIMISHO YA JUMA LA NYARAKA ZANZIBAR 2026 Ndugu Viongozi,Ndugu Waandishi wa Habari,Wageni Waalikwa,Mabibi na Mabwana. Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Napenda kuwakaribisha nyote katika mkutano huu muhimu wenye lengo la kutangaza rasmi maadhimisho ya Juma la Nyaraka Zanzibar kwa mwaka 2026. Awali ya yote, Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu...