Ofisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Pemba.

Ofisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Pemba imeanzishwa kwa lengo la kusimamia na kuratibu utekelezaji wa majukumu ya Taasisi katika Kisiwa cha Pemba. Ofisi hii inahakikisha kuwa usimamizi wa nyaraka na kumbukumbu unafanyika kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kitaalamu, pamoja na kurahisisha upatikanaji wa huduma za nyaraka kwa wananchi na watafiti waliopo Pemba. Ofisi hii inaongozwa na Mratibu

Ofisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Pemba inaendelea kuimarisha juhudi za kulinda na kuhifadhi kumbukumbu muhimu za kihistoria pamoja na kuboresha huduma za nyaraka katika Kisiwa cha Pemba.

Majukumu

Majukumu ya Ofisi ya Nyaraka na Kumbukumbu  Pemba ni pamoja na :-