Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Zanzibar kupitia kituo cha Kumbukumbu Tuli imeandaa  mafunzo maalum ya Usimamizi wa Nyaraka na  Kumbukumbu kwa Walimu Wakuu wa Skuli za sekondari na msingi za Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Kujenga uelewa na uwezo kwa walimu katika usimamizi bora wa nyaraka na kumbukumbu katika maeneo yao ya kazi ili kuboresha utunzaji wa taarifa.

  • Wilaya ya Kaskazini A – Ofisi ya Elimu Mkwajuni 
  • Wilaya ya Kaskazini B  –  Skuli ya Mahonda 

Mafunzo yataanza saa tatu kamili Asubuhi  (3:00 Asubuhi)

Walimu Wakuu wa skuli za Sekondari na msingi za Mkoa wa Kaskazini Unguja.

  • Kuimarisha mfumo wa usimamizi wa nyaraka na kumbukumbu
  • Kuimarisha utendaji wa kazi katika ofsisi
  • Kufahamu mbinu bora za usimamizi wa nyaraka na  kumbukumbu
Facebook
WhatsApp