IDARA YA USIMAMIZI WA NYARAKA NA KUMBUKUMBU

Kumbukumbu na Nyaraka ni Ubongo wa Taifa lolote duniani na Nyenzo muhimu katika Uwajibikaji na Utawala Bora

Scroll Down
IDARA YA USIMAMIZI WA NYARAKA NA KUMBUKUMBU

Idara hii inajukumu la Kusimamia na kuhakikisha nyaraka za thamani ya kudumu zinapatikana, zinalindwa, zinahifadhiwa na kupatikana kwa umma. Idara hii itaongozwa na Mkuu wa Idara atakaesimamia divisheni tatu (3) ambazo ni Divisheni ya Utunzaji na Uhifadhi wa Nyaraka, Divisheni ya Huduma za Kiufundi wa Nyaraka na Divisheni ya Utafiti na Ushauri.

Majukumu

  1. Kubuni na kusimamia utekelezaji wa upatikanaji wa nyaraka za umma za thamani ya kudumu kutoka kwa ofisi za umma na sekta binafsi na kusimamia Hifadhi ya Taifa.
  2. Kutayarisha, kufuatilia, kupanga na kueleza hali zinazofaa kwa ajili ya uhifadhi na, mashauriano ya uhifadhi wa nyaraka na kutoa miongozo inayofaa, orodha, faharisi na visaidizi vyengine vya kutafuta ili kuwezesha
  3. Kukagua na kupata nakala za nyaraka na kumbukumbu za umma katika hifadhi ya taifa au hifadhi nyengine yeyote ya kumbukumbu.
  4. Kufuatilia na kuratibu machapisho kwa ajili ya usimamizi wa kumbukumbu na nyaraka.
  5. Kuandaa miongozo na kusimamia sheria kwa watafiti/ watumiaji wanaotafuta nyenzo za Uhifadhi katika Hifadhi ya Taifa au hifadhi nyengine yeyote ya kumbukumbu.
  6. Kusimamia na kufuatilia kuhifadhi na kurejesha nyenzo za kumbukumbu zilizoharibika na rekodi za umma katika hifadhi ya taifa kama zinaonekana kutokua na thamani ya kudumu.
  7. Kuhuisha nyaraka zilizoharibika na chakavu ili kuendelea kuishi kwa muda mrefu.
  8. Kutoa mafunzo, semina na warsha kwa taasisi za umma na jamii juu ya umuhimu wa utunzaji na uhifadhi wa kumbukumbu na nyaraka.
  9. Kuandaa mikakati ya kupata nyenzo za maktaba ya asili ya kumbukmbu (Hansards, ripoti za sharia, magazeti ya serikali, majarida ya kitaalamu na makala n.k)
  10. Kufuatilia na kutunza maktaba ya Nyaraka za
DIVISHENI ZILIZOCHINI YA IDARA YA USIMAMIZI WA NYARAKA NA KUMBUKUMBU

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina majukumu yafuatayo:

Majukumu

  1. Kubuni na kusimamia njia za kupata nyaraka za umma za thamani ya kudumu kutoka kwa ofisi za umma na sekta binafsi na kusimamia Hifadhi ya Taifa.
  2. Kufuatilia na kutathmini kumbukumbu zenye thamani ya kudumu au hadhi ya kipekee (Unique Archive Documents) ili kuhamishiwa / kununuliwa/ kutolewa kama zawadi kwa Taasisi.
  3. Kutoa usaidizi wa kitaalamu, ushauri na miongozo juu ya kumbukumbu na nyaraka zitakazotambuliwa au kugundulikana katika jamii.
  4. Kufanya utafiti wa awali (Baseline Survey) katika maeneo yenye taarifa za
  5. Kufanya tafiti na kutoa ushauri elekezi kwa njia bora za utunzaji na uhifadhi wa taarifa za kihistoria.
  6. Kufanya na kuratibu maonesho ya kihistoria na mengineo ya
  7. Kutayarisha, kufuatilia, kupanga na kuelezea hali zinazofaa kwa ajili ya uhifadhi na mashauriano ya uhifadhi wa nyaraka na kutoa miongozo inayofaa, orodha, faharisi na visaidizi vyengine vya kutafuta ili kuwezesha
  8. Kukagua na kupata nakala za rekodi za umma katika Hifadhi ya Taifa au hifadhi nyengine yeyote ya kumbukumbu.
  9. Kuhakikisha nyaraka zote zilizopo Jumba la Nyaraka zinatunzwa na kuhifadhiwa kwa usalama.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina majukumu yafuatayo:

Majukumu

  1. Kuhuwisha nyaraka zilizoharibika na
  2. Kufanya kazi za kudahili (binding) wa kumbukumbu na nyaraka
  3. Kutoa mafunzo yanayohusiana na uhuwishaji wa kumbukumbu na nyaraka
  4. Kudhibiti matumizi salama ya uhai wa
  5. Kuimarisha uhifadhi wa kumbukumbu na nyaraka katika teknolojia ya kisasa kwa kuingiza nyaraka katika mfumo ya kidijitali wa kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka.
  6. Kuhifadhi taarifa katika mfumo wa

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina majukumu yafuatayo:

Majukumu

  1. Kusimamia utoaji na upatikanaji wa huduma bora za utafiti kwa watafiti na wananchi wanaotaka kupatiwa huduma.
  2. Kusimamia matumizi bora ya nyaraka, machapisho vitabu nyenzo zote za chumba cha utafiti.
  3. Kuandaa, kupendekeza na kusimamia utekelezaji wa programu za kuimarisha huduma za utafiti;
  4. Kuandaa na kufanya mapitio ya kanuni na miongozo ya utoaji wa huduma za utafiti;
  5. Kuandaa faharisi na kuhakikisha kua zipo katika hali
  6. Kuweka kumbukumbu na takwimu za utafiti kwa usahihi;
  7. Kutoa ushauri, mafunzo na maelekezo ya kitaalamu kwa watafiti mbali mbali;
  8. Kusimamia utoaji na upatikanaji wa huduma bora za utafiti kwa njia ya elektroniki;
  9. Kuandaa, kupendekeza na kusimamia utekelezaji wa programu za kuimarisha huduma za nyaraka mtandao.