Habari na Matukio

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS IKULU AITEMBELEA TAASISI YA NYARAKA

Waziri Ofisi ya Rais – Ikulu, Dk. Saada Mkuya Salum akiambatana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Ikulu, Ndugu Saleh Juma Musa amefanya ziara katika Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu Zanzibar. Katika ziara hiyo, Waziri alitembelea mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Taasisi unaotekelezwa na Kampuni ya Zeccon, Mkandarasi Ali Mbarouk aliwasilisha taarifa ya maendeleo ya ujenzi. ambapo Waziri alisisitiza...

ZIARA YA BODI YA USHAURI TAASISI YA NYARAKA KISIWANI PEMBA

Bodi ya Ushauri wa Nyaraka na Kumbukumbu Zanzibar imefanya ziara ya kikazi  Kisiwani Pemba na kutembelea baadhi za Wizara na Taasisi za umma. Ziara hiyo imeanzia tarehe 14 na 15 Agosti 2025 kwa kutembelea ofisi za Shirika la Meli, Shirika la Bandari, Wizara ya Afya ,Wizara ya Ardhi  pamoja na Kamisheni  ya Ardhi. Katika ziara hiyo bodi imeweza kujionea jinsi kazi za uzalishaji na utunzaji wa...